Akaunti za Amana zisizohamishika
Features and benefits of this account include: Zero monthly charges. Minimum investment term of 1 month. Maximum investment term of 24 months. Minimum deposit amount of TZS 1,000,000 or USD 1,000. You must have an account with NCBA to open a Fixed Deposit Account. Account is available in both local and foreign currency. One can
Sifa nyingine na faida za akaunti hii ni pamoja na:
- Hakuna malipo ya kila mwezi
- Kiwango cha chini cha uwekezaji cha mwezi mmoja.
- Kiwango cha juu cha uwekezaji cha miezi 24.
- Kiwango cha chini cha amana ya TZS 1,000,000 au USD 1,000.
- Lazima uwe na akaunti na NCBA ili kufungua Akaunti ya Amana Isiyohamishika.
- Akaunti inapatikana kwa fedha za ndani na nje.
- Mtu anaweza kukopa dhidi ya fedha kwenye akaunti yake.