Akaunti ya Dhahabu ya Biashara
Other features and benefits of this account include: Up to 40 free transactions per month, thereafter a fee of TZS 600 per additional transaction. Free account transfers to other NCBA accounts. Free debit card for sole proprietors or customers with any-to-sign mandate. Manage your account wherever you are with Online and Mobile Banking. Free monthly
Vipengele vingine na faida za akaunti hii ni pamoja na:
- Hadi miamala 40 ya bure kwa mwezi, baadaye ada ya TZS 600 kwa kila muamala wa ziada.
- Kuhamisha fedha bure kwenda akaunti zingine za NCBA.
- Kadi ya malipo ya bure kwa wamiliki pekee au wateja walio na dhamana ya kusaini.
- Huduma za kibenki kwa njia ya mtandao na simu ya mkononi popote ulipo.
- Taarifa za bure za kila mwezi.